Habar! ninaishi Dar, I’m 28 years old christian, Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.
Thanks. Serious issue pls kama una utani kaa pembeni nimechoka upweke Loh.
Nb: Uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako...