Mi nina mtoto nimeolewa. Punguza ushabiki mwanaume, we chaguo la mtu linakuumiza nini. Heading yako inaonyesha unaumia sana kuona mwanamke anamtoto na ameolewa. Mke wako ulimkuta bikra? Kama hujaoa hakikisha unatafuta mwanamke bikra wa kumuoa.
babake hakutaka ndugu zake wajue kama anamtoto na hadi sasa ndugu yake mmoja tu ndio anajua ambaye ni wa rika lake. Naye alipojua kuwa kuwa nduguye hajafurahishwa na uwepo wa huyu mtoto alikata mawasiliano na mimi.
mchumba angu anahisi nikiwa na mawasiliano na baba mtoto ushirikiano wa mimi na yeye katika masula ya mtoto utakuwa mdogo. Anapenda ninapoishi naye mtoto amtambue yeye tu kuwa ndio baba. Lakini sinampango wa kuukataa ukweli na ninajua sikumoja mtoto atamjua babake mzazi isipokuwa ukweli...
sina jeuri ila tu nilitaka nimjulishe yeyote atakaesoma post hii kuwa naolewa sababu ya mapenzi na si vinginevyo. Ningekuwa na jeuri hata huduma anazompa mtoto asingempa cz ningejiona naweza.
Nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3 ambaye babake niliachana naye nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu.
Baba mtoto hajawahi kujihusisha na chochote kuhusu mtoto na mimi huwa simuulizi kwa sababu alishaniambia hayupo tayari kuwa baba.
Nina mchumba sasa. Na mchumba angu amekubali suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.