Naomba ufafanuzi kuhusu course ya agribusiness menegiment and technology inayo tolewa must, na maeneo ambayo ninayoweza nikafanyia field na suala zima la ajira zake zime kaaje kaaje
Niliitumiwa Makosa na bodi ya mikopo nikarekebisha lakini Jana nilivyo ingia kwenye account yangu nime kuta kitu kama hicho[emoji116][emoji116] lakin baada yakufanya marekebisho kilikua hakipo.. Vipi kwani kutakua na tatizo lolote?
Samahani wakubwa naomba msaada wenu nime maliza kidato cha sita, ni ipi kati ya course hizi itanifaa na ninzuri? Naomba na ufafanuzi kidogo kuhusu course hizo.
1- Bachelor of science in applied biology(mwecau)
2-Bachelor of agribusiness management and technology(must)
3-Bachelor of science in...
Samahan wakubwa naomba msaada wenu nime maliza kidato cha sita, ni ipi kati ya course hizi itanifaa na ninzuri? Naomba na ufafanuzi kidogo kuhusu course
1-Bachelor of Science in Applied Biology (MWECAU)
2-Bachelor of Agribusiness Management and Technology (MUST)
3-Bachelor of Science in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.