Wewe ni nani? Jitambue ndugu usifuate upepo!. Improve your idea, think big please! We sema tufanye nini sasa? Sio unathamini tu, what is your standing on this issue?
Watanganyika tusing'ang'anie muungano huu usioeleweka bora tuachane na tuitwe JAMHURI YA TANGANYIKA its better lakini kabla ya kutengana tulipe kwanza lile deni la taifa linaloitwa TANZANIA nusu kwa nusu kwa sababu tuliikopa tukiwa pamoja!. I NEED TANGANYIKA PLEASE!!!!
Wanajamvi habari za leo jmosi!.Ninachotarajia katika uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga linaweza likafanana na lile la uchaguzi mdogo uliofanyika arumeru hasa baada ya chama tawala kuendelea na tabia yao ya kutengeneza ukoo au undugu katika chama hicho kumbuka mgombea wa arumeru wa ccm kipindi...
Haya ni maajabu! Katika utawala wowote kuna mtu wa juu, wakati, hadi wa chini au wa mwisho, sasa ikitokea kutoheshimiana na kushirikiana kwa pamoja na kila mmoja kutaka awe wa juu ndo inakuwa hivi!. Lakini huyu jamaa kama ameikuta chadema ikamfaidisha bora angeendeleza faida au umaarufu wake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.