Recent content by Lord Knoxx

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kunyimwa huduma za Afya Zanzibar

    Ila viongozi wetu wa chama pendwa wanatuaminisha hamna ubaguzi dhidi Wabara. Ya kwamba, wanaobaguliwa Zanziba ni wageni toka Komoro na Shelisheli. Hii nayo inachangnya sasa. Ila viongozi wetu wa juu wa chama pendwa wanatuaminisha kuwa wanaobaguliwa sio Wabara bali ni wageni toka visiwa vya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Muungano huu una shida moja kuu. Kwamba Tanganyika ilifichwa. Ikifichuliwa ikawa wazi ikapata utambulisho, basi mambo yataenda vizuri tu. Wala hamna haja ya "heated debates about nothing" Ndiyo maana katiba mpya ikipatikana swala la Serikali 3 kuunda Muungano ni lazima. Natumai mmenielewa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Wachina wamejitaidi ku project power na kuonesha vifaa vya modern warfare. Ila na amini, hawaja display kila kitu. Kumbuka mataifa kama India ni adui yao mkubwa, na India pia alikuwepo kwenye hiyo display. But, China bado ana play catchup to the USA, kama baada ya miaka 3 hivi watakuwa ngoma droo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Wachina ni zaidi wapo 2.4B Africa tupo 1.3B
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Mleta mada haya mambo uliyoelezea yapo wazi kwa kila mmoja wetu kama riaha, viongozi wetu wengi uwezo wao ni mdogo sana hadi ina kera. Kinacho tuponza ni Katiba mbaya. Tukibadili Katiba kama Wananchi walivyopendekeza kwenye Rasimu ya Mzee Warioba tutapata voingozi wazuri na imara, kwa sababu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Mleta mada bora umeliona hilo, kwa kweli haya mambo ni fedhea kwa taifa letu pendwa. Yanatupaka matope. Natamani haya mambo ya watu kukosa uhuru wa kujieleza yafike ukomo wake. Nchi yetu ifunguke iwe huru, Bila kuwa huru, hatutopata maendeleo ya kweli kama Taifa. Kwa sasa ushirikishwaji wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais kupitia UDP ampongeza rais Samia jukwaani

    Kampeni za mwaka huu 2025, ni vituko na burudani murwaa! Unatamani uchekee, unatamni iwe ni Ndoto, kumbe ni real. Kwa kweli ni comic tupu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kasikazini panapwaya mno, wachaga zaeni hii ni aibu waliooa kwenu waja kuwa wabunge wenu, Kikeke ni mzanzibari Moshi VIJIJINI afata Nini?

    Hamna jambo la namna hiyo kajaribu kugombea Zanzinbar,Uone kama watapokea Fomu yako.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msanii hana hata Wimbo mmoja wa kukemea rushwa au Igizo la kukemea Ufisadi halafu Leo anataka Ubunge

    Hiki ndicho kipimo halisi cha tulipa fika kisiasa kama Nchi. Hatupo Sirias kivile.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Mifumu yetu ya kiujumaa imelemaza watu na kuwafanya kuwa wajinga, Watu hawataki kusumbua akili zao. Ndiyo maanawajanja wanapeta sana hapa kwetu TZ.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Russia ina nuclear war heads 7500, America ana 7000 kutunishiana misuli silaa za kivita wamekaribiana, ila kiuchumi Russia analingana na kajimbo kamoja tu ka USA.
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi mkongwe wa habari nchini, Abdallah Majura achukua fomu kuwani ubunge jimbo Dimani Zanzibar

    Huyu ni Mhaya, kumbuka Wajita wametokana na Wahaya. Wajita wanawaita Wahaya babu zao. Na Wahaya wanawaita Wajita Wajukuu zao. Ila anajiamini sana akashinda huko Dimani itakuwa amefungua Njia kwa Watanganyika wenginne.
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Kwa Nchi yetu mambo yanvyokwenda Kisiasa, inawezekana maana naye si Mwanadamu. Ila itashusha hadhi ya Nchi yetu kama ikitokea hivyo! Ana tuhuma Nyingi sana nyuma yake, alafu ameitwa na tume ya maadili zaidi ya mara 3 na akadharau. Sio kiongozi mwema!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha, na kushiriki huduma ya kiroho siku za ibada

    Umeongea vyema natumai wengi humu JF, watakuelewa. TL ni mfano bora wa Mtu yeyote ku aspire kuwa kama yeye. Anajiamini, Anajitambua, Anaelewa kupigania haki yake popote inapoporwa. Watanzania wengi, tungekuwa na hata robo ya ujasiri wa TAL, Nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo katika katika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

    Kitu Kizito sana kilitupiga tukawa wajinga. Muungano kwa kweli huwa siukubali, sijui tutajitoa vipi kwenye huu uhusiano usio na mantiki yeyote!
Back
Top Bottom