Recent content by Loolyboy

  1. L

    Paa hili litagharimu bati ngapi?

    Wakuu jaman nataka mnisaidie je bati 75 au 150 na naomben maelezo kwa uzuri au ni nani haswa mnae mjua ana shuulika na maswala ya kuweka bati
  2. L

    Paa hili litagharimu bati ngapi?

    Bwa sheh sasa hapo kidogo sijakuelewa kuhusu bati kwa hio ziwe futi 10 na piec 150?!bwa shelh ndo nimesha ingia choo cha kike nisha jenga
  3. L

    Paa hili litagharimu bati ngapi?

    Mkuu mpaka kijasho kinanitoka kwa hio bei kama ngapi itanigjarimu
  4. L

    Paa hili litagharimu bati ngapi?

    Naomba wakuu mnishauri kuhusu hilo paa langu je lina ingiza bati za msouth ngapi?
Back
Top Bottom