Recent content by longokaka

  1. longokaka

    mkopo wa BAYPORT mnauonaje?

    Mi nmekopa m5 nmeambiwa nrudishe m10.7 dah Bayport sio watu nyie . 😭
  2. longokaka

    SoC01 Umuhimu wa Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia Shuleni Tanzania

    Ni kweli kuhusu hili .. Na ndio maana kiingereza Ni vyema kikabaki Kama somo kwa maana hii haitatutupa mbali na wageni wetu . Ila kwakujenga uzarendo na mazingira rahisi ya kitaaluma ilifaa zaidi kiswahili kipewe nafac kubwa . Mfano mzuri Ni kukifanya kiingereza kua somo compalsor Yani lenye...
  3. longokaka

    SoC01 Umuhimu wa Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia Shuleni Tanzania

    Nashukuru kwa hoja yako na naoma niijibu Kama ifuatavyo rebeca ok nashukuru kwa hoja yako na naomba nikujibu Kama ifuatavyo.. 1. Tunapoamua kiingereza kianzie msingi Hadi secondary bado changamoto ataipata msomaji kwasababu awapo kwenye mazingira ya jamii yake itamuwia itamradhimu akae katika...
  4. longokaka

    SoC01 Umuhimu wa Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia Shuleni Tanzania

    Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni . Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi . Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
Back
Top Bottom