Recent content by Lonestar

  1. Lonestar

    JamiiForums Tanzania Hivi PSSSF kwa nini usimamizi wenu unalega lega ?

    Niliwahi muliza mtu akasema ni michango kutoka hazina huchelewa kuja
  2. Lonestar

    JamiiForums Tanzania Kwa nini psssf inaajiri kwa kujuana bila kutangaza ajira wala kuwapa kipaumbele wanaojitolea?

    Toka mfuko wa psssf uuangane 2019 hujawahi tangaza ajira lakini kila siku wanakuja wafanyakazi wapya ambao hawajafanya interview sehemu yeyote naomba kufahamu mfumo wa kuajiri upoje au kigeso ni mpaka uwe na ndugu.pia nimeshudia tukio moja la vijana waliokuwa wanajitolea kutoka TAESA wote...
  3. Lonestar

    JamiiForums Tanzania Kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani?

    Hivi kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani maana kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma mkoani kwa nn wasiweke mwakilishi hata mmoja wilayani
Back
Top Bottom