Recent content by Loneman

  1. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Sasa kama niko Sweden, niandikeje? Ebu nishauri wewe!
  2. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Ni kweli, mimi nashangaa kwa kweli, nimeandika Sweden watu wanadai ni njia za kizamani, na hata hivyo sijasema natafuta mtu aliyeko Tanzania, la hasha, natafuta aliyeko huku iwe rahisi kwangu kuonana na kujuana na sioni kosa la kutaja Sweden watu waje wanikalie kooni kisa kutaja nchi ya kigeni...
  3. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Uwe tu na lugha nzuri, kama unaona post haikuhusu achana nayo tu, endelea kwenye post nyengine kwa roho safi bila hiyana, huna haja ya ku-comment kila posts.....
  4. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Ya zamani ni ipi?
  5. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Ebu acha ubwege wewe, kama niko Sweden sasa niandike niko Mbagala ama?
  6. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Kwa maana hiyo wote waliomo humu ni madomo zege ama? ;)
  7. L

    Natafuta mchumba Sweden!

    Habari, Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia awe serious na tayari kuonana ama kuzungumza. Dini si tatizo kwangu, awe mkristo, awe muislam kwangu...
Back
Top Bottom