Recent content by Lonana Lameck ole Kipuyo

  1. Lonana Lameck ole Kipuyo

    SoC02 Bangi iwekwe huru

    BANGI IHALALISHWE. Kwa ulimwengu wa sasa siyo vyema kuendelea kudanganyana , baahi ya masuala hayawekwi wazi siyo kwa sababu gani? Hakuna cha maana zaidi ya danganya toto. Sheria na kanuni nyingi zimewekwa ambazo zipo kwa maslahi mapana ya mamlaka zinazongoza raia . Vingi vimehalalishwa na...
  2. Lonana Lameck ole Kipuyo

    Qatar kombe la dunia 2022

    DEJAN STANKOVIC NA HISTORIA YA PEKEE YAKE WORLD CUP.. Mchezo wa soka ndiyo mchezo mahususi na unaopendwa zaidi miongoni mwa michezo yote ya kiushindani Ulimwenguni . Kila baada ya miaka minne hufanyika michuano ya kombe la dunia , kwa upande wa wanaume ndiyo huvutia sana mashabiki . Zikiwa...
Back
Top Bottom