Recent content by lollahy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Unaruhusiwa kutumia kiswahili,wapo watu wa kutafsiri na kuna mzungu mmama usa embassy anaongea kiswahili safi kabisa,visitors visa unaruhusiwa kuongea lugha unayoitaka labda kama ni student visa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Visa yenyewe ya UK bado hajaipata,hakuna visa ngumu kupata kama ya UK na wanaangalia vigezo vyako zaidi ya vya sponsor,kama hutawaonyesha utarudi tz ujue visa hupati,labda bibi aje wafunge ndoa apply spouse visa na bibi awe na vigezo vya kutoa mume dunia ya tatu bila kutegemea hela ya...
Back
Top Bottom