Recent content by lkopp

  1. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Ndugu nahisi sijaelewa, kwamba?
  2. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Nashukuru sana.....ukiwa kwenye mitandao kama hivi hata mtu akikutukana na kukujudge inabidi niwe mpole.
  3. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Hapana.....nimejitosheleza tu. kibamia kinahusianaje na kukataliwa?
  4. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Duuuh aisee ndugu yangu, real? haya bhana Nashukuru sana
  5. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Thank you so much....wengine hawaelewi hilo
  6. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Kwahiyo unanishauri nifanyeje ndugu? Nianze kuwa fake ili niweze kuwin girls heart?
  7. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Duuh ndugu yangu pole sana. heri walau umepata things kama hizo ni za kuwekana sawa kama unaplan naye.........as for me 5 years sijapata mwanamke na sina mwanamke hadi sasa.....haya yule tu wa kuchat naye sina can you imagine? if something is wrong with her then you can make them right i...
  8. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Anazingua huyo
  9. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Mwanamke awe na elimu walau kidato cha nne.....hata akiwa college educated sawa....Umri asizidi miaka 35. Awe amepevuka kiakili/fikra, kwa kuwa nahitaji life partner hivyo nitapenda awe msikivu mwelevu pia mvumilivu kwani najua kwenye kuachieve great things uvumilivu utahitajika. Awe...
  10. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Nashukuru sana nimekuelewa. Nitalifanyia kazi jamo hilo maana nahisi kuchanganyikiwa kwani i real need a life partner.
  11. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Dah aisee aya ahsante mkuu nimekuelewa
  12. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Umesomeka mkuu kumbe watakuja!!! Dah life is real crazy yani
  13. lkopp

  14. lkopp

    Ahsante sana
  15. lkopp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemuhitaji ananikataa, nimeelezwa nije humu huwenda mtanisaidia

    Hahahaha....eti muonekano zero! Dah haya nashukuru kwa ushauri wako but samahani i dont break my own rules. SITUMII HELA kumshawish mwanamke
Back
Top Bottom