Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
Walikua wananilazimisha sana kubadilisha dini kua mwislamu kisha ati nirudi Africa na kuolewa na mwafrica na kuzaa mtoto wa kiafrika, yaani hawa wanafanya balaa sio mchezo. Usiku ikifika wanakupiga macho inakaa kavu hadi asubuhi kisha mchana kutwaa usingizi inajaa kwa kichwa. Kitovo walinifunga...
Nitaweka mkione wote, kwa ulimwengu wa kiroho unaweza kutumika vizuri ama kutumika vibaya, kumbuka spirits are spirits, wa mwanganza au giza. Inategemea sana vile unatumika kwao, kuna watu wanatumia ulimwengu wa giza na wanafaidika sana, bila matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.