Jamani taratibu basi wapendwa yoga anatuchora tu tunapolumbana [emoji14]katulia tuli.
Yoga njoo basi mbona hivyo jamani tuna kiu ya hadithi wenzio[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hata katika vitabu vitakatifu hasa biblia inasema Kuna Dunia ambazo Kuna viumbe ambavyo havijaasi Kama Dunia yetu ilivyoasi kupitia anguko la ADAM NA HAWA hivyo uwezekano wa uwepo wa viumbe km Alliens upo.
all to all Kila mtu na anavyoamini na Imani ndiyo spirit ya yule anaekiamini kile anachokiishi MIMI naamini kwa yeye aliye juu ya yote MUNGU aitwae YEHOVA.
Kwani yeye mmiliki wa vyote, vijazavyo Dunia na akipenda hufanya atakalo hapangiwi liwe zuri au baya kwa yeyote,yoyote na chochote.
Na kampuni nyingi chini ya jua hutawaliwa na nguvu za gizani ktk ulimwengu wao na ndo mwanzo wa uovu mwingi kutokea na wao kujiamini hawez toka kwa kampuni na hutawala wapendavyo huku dhuluma,mauaji,udhalimu wa Kila aina kwa raia ukiongeza chuki dhidi yao lkn mwisho wa yote hawajabaki kuwa...
Hakika hakuna kitakacho mshinda Mungu Giza na Nuru havichangamani na Nuru siku zote huangaza maovu ipo siku vya gizani vitakuwa hadharani hapo ndipo mwanzo wa utungu na Mungu ni mshindi mwisho wa siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.