Recent content by lizdk

  1. L

    JamiiForums Tanzania Anapotengua teuzi mnalalamika! Mnataka afanye nini sasa?

    Kama vyeti sio muhimu mbona watu wenye vyeti feki but wafanya kazi wazuri tu wamefukuzwa makazini? What's so special about Paul makonda mpaka ye asifukuzwe? It's not fair kabisa, Kama kweli hana vyeti feki si aoneshe tu? Atapungukiwa na nini? Anavyo zidi kukaa kimya ndo anavyozidi kuwa convince...
Back
Top Bottom