Recent content by lizabonikwetu

  1. L

    Kiwanja Kinahitajika Dodoma

    Mkuu, nina Kiwanja Makulu, Dodoma Mjini, kina ukubwa wa hatua 30 kwa 17,bei ni Tsh. 2,000,000 tu. Kipo tambarare na majirani wapo wameshajenga. Wasiliana nami kwa namba 0786 294545 Karibu
  2. L

    Nauza kiwanja bei ya kutupa Dodoma mjini

    Wanabodi Nauza Kiwanja changu kilichopo Dodoma Mjini eneo la Makulu kwa bei ya kutupa kabisa (Ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma) Kina ukubwa wa Hatua 15 kwa 30 na kipo tambarale Bei ni Tsh 1,600,000 tu Mhitaji seriously anijulishe kwa namba 0786 294545 Karibuni
  3. L

    Nauza kiwanja Dodoma mjini bei ya kutupa

    Heri ya Mwaka Mpya Nauza Kiwanja changu kilichopo mkoani Dodoma mahali panaitwa MAKULU ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Ukubwa ni Hatua 30 kwa 20. Bei ni Milioni Mbili tu na maongezi yapo. Mhitaji SERIOUS tafadhali atumie namba 0786 294545 Karibuni
Back
Top Bottom