Recent content by Liz rajabu

  1. Liz rajabu

    Jinsi ya kupata fomu za maombi ya kazi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi

    Habari wanajamii forum,naomba kwa anaefahamu jinsi ya kupata fomu za kuomba kazi katika ujenzi wa hizi barabara za mwendokasi,anaefahamu naomba anielekeze wapi nazipata na utaratibu upoje,vitu gani vinahitajika na mengineyo,asanteni sana.
Back
Top Bottom