Habari wana JF,
Nikiwa na nia thabiti, ninatangaza kutafuta mume. Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa miaka 31.
Upande wangu,
Nina mtoto mmoja>5 yrs
Elimu yangu Diploma
Ni mwajiriwa
Ninahitaji mtu mwenye nia ya dhati na awe na umri 31-38 yrs
Awe na shughuli halali inayomuingizia kipato
Awe na...