Recent content by Lisani

  1. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Sawa mama angu nimekusikia,nitalifanyia kazi wazo lako,nashukuru
  2. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Ninavyojua mimi Mungu ni mmoja tu
  3. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Soma vizuri hayo MANENO alikuwa anaambiea na wazungu sio yeye amezungumza na yeye alikataa kama wewe unavyokataa ila wazungu walimsibitishia hvyo vitu.
  4. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Hao watu awapo apa Africa wenye elimu,kuthubutu,kujituma na mikakati pamoja na mipango?
  5. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Ivyo Kaka Kwa sababu gani mambo makubwa wanafanya wazungu tu sio sisi watu weusi?
  6. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Ata wewe ujaelewa nichoandika,soma vizuri utaelewa namaanisha nn!
  7. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Apana yupo flesh,soma vizuri labda ujaelewa yeye alikuwa ananisimulia yaliokuwa yanatokea Kati ya wao na wazungu kipindi hicho na sio yeye ndio kasema hayo maneno soma kwanza uelewe na tena na wao wazee wali panic kama ulivyo panic wewe kusikia hayo MANENO na bado kidogo kumpiga huyo mzungu!
  8. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Sawa Ayubu,lakini sisi watu weusi tunawasiliana katika mambo gani hapa duniani au katika maisha yetu yakawaida tu,na sio kufanya mambo makubwa kwenye ulimwengu na sisi tuwe na nguvu za kufanya mambo mengi makubwa ya kusaidia ulimwengu!
  9. L

    Eti wazungu wanawasiliana moja kwa moja na Mungu?

    Kuna mzee wangu mmoja napenda kukaa nae mtaani kwangu kubadilishana mawazo yeye amezaliwa miaka ya nyuma kidogo na bahati nzuri amesoma sana na amefanikiwa kufundishwa na wazungu na kusoma vyuo vya nje na amefanyakazi na wazungu. Mnamo miaka ya sabini alipokuwa anafanyakazi na wazungu,kuna...
Back
Top Bottom