Recent content by Lique matula

  1. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    Hilo swali lko likifanyiwa uchunguzi wa namna upatikanaji wa tenda ulivyo fanyika aloooooh wataswekwa ndan watu hapo pili je wanavibali vya kuingiza hyo toilet fluids?km hawana wametoa wap?
  2. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    K Airtanzania wanatumia system ya crane kwenye kucheck in wafanye kuimodify iweze kutoa resit hapo hapo pili hyo system ni rahisi sana kupiga pili airline wasikae sehemu moja kwa muda mrefu wabadilishwe vituo vyao vya kazi tatu kufanyike ukaguzi wa kushtukiza kwenye ndge zao!
  3. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    Sasa mm nakuhakikishia kilicho andikwa ni ukweli mtupu anafukuzwa kazi GM sembuse HR endru hoja ya msingi hapo ni why shirika linaendelea kuhujumiwa?
  4. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    Nimjinga kabisaaaa period‼️
  5. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀ haelewi hyo H2SO4 inasaga hadi mifupa.
  6. Lique matula

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    Iwe ypo kazini au amefukuzwa swali moja lamsingi ni kweli hzi hujuma zipo?Nas wana fanya handling kwa KLM,fly Dubai na Rwanda air je nazenyewe zinagongwa km Air Tanzania????km cyo 100%hzo nihujumaaa zisizo vumilika.
Back
Top Bottom