Recent content by LIPOIYE ABDUL

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Bwana Mtema wa Noti, kiukweli mimi kama mtaalam wa kilimo cha samaki nakwambia ya kwamba hilo eneo halifai kwa sababu chanzo chake cha maji si chauhakika na pia hufurika maji kipindi cha mafuriko inamaana kipindi cha mafuriko utakula hasara bure kutokana na kubomoka kwa kuta za mabwawa na pia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania MSAADA: kuhusu ufugaji wa samaki

    Nawombeni wote wana JF kuwa makini na watu wengine ndani ya jamii forum ambao hudai kuwa na ujuzi ambao hawana. Tafadhalini kama kitu hauna ujuzi nacho usiwashauri watu kisichochema. Naitwa Lipoiye Abdul ni mtaalam wa samaki nilosomea toka chuo cha mbegani bagamoyo na napatikana Dar-es-salaam...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Naitwa Abdul Lipoiye, napatikana Dar-es salaam Tanzania. Nimesomea utaalam wa ufugaji wa samaki, uzalishaji wa samaki, utengenezaji wa chakula cha samaki, ujenzi wa mabwawa, utunzaji wa samaki na mabwawa, utengenezaji wa mashine ndogo za usaji nafaka na utengenezaji pelete kwa ajili ya wakulima...
Back
Top Bottom