Recent content by LION CUB

  1. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Haha, umenichekesha sana boss. Watu wachache watakuelewa, some will percieve it as a threat, but surely it ain't.
  2. L

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Ilikuwa Registered airmail kupitia POSTNL, I wonder kwanini imechukua muda mrefu, nimekuwa nikitumia Netherlands post for years haijawahi zidi siku 25. Japo seller pia alisababisha (processing time from 20 januaryto 8th february).
  3. L

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kununua ni rahisi tu unahitaji kuwa na VISA/MASTERCARD iliyowezeshwa kufanya online payment (NBC,NMB,CRDB, EQUITY nk) utaenda benki watakujazisha form, pia hakikisha usalama wa kadi yako kwa kutumia paypal au websites zenye centralized payment system +Buyer protection policies. ila kuna baadhi...
  4. L

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    Sawa boss kesho nitakuchek asubuhi ikiwezekana nije physically nivione ili tuyajenge zaidi.
  5. L

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    Hiyo ya 120,000 Bila shaka chumba kimoja ndio self contained hapa boss, ? Vp hicho cha 80,000 hakuna negotiation, 65,000 atleast?
  6. L

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    Kiwe na tiles+ceiling board au gypsum, dirisha kubwa na kirefu kwenda juu
  7. L

    Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

    nahitaji chumba kimoja ,self-contained kuanzia maeneo ya sai hadi mafiati au sinde. kikipatikana unipe update
  8. L

    Mwongozo ukoje kuhusu kupima HIV/AIDS?

    Ni kweli ni Sera ya shirika la Afya duniani (WHO) kwa sasa, na imekuwa adopted na taifa letu pia. WHO ina malengo kuwa kufikia mwaka 2020 ,90% ya watu wawe wanafahamu hali yao ya maambukizi ya VVU, na kati ya hao 90% wawe wameshaanza matibabu ya ARV, na kati ya hao 90% dawa ziwasaidie kuimarisha...
  9. L

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Kuhusu gharama nitafanya uchunguzi nitatoa updates, nafahamu tu kwenda dar na hapa mkoani kama nilivosema hapo juu. Kuhusu idadi ya ndizi ni changamoto kidogo, huku wenyeji wamezoea kuhesabu kwa vichane (vipambo), labda wale wanao export kwenda zambia ndio hwa wanazitenga ndizi mojamoja. Idadi...
  10. L

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Kuja mikoa mingine sijajua changamoto zake, mimi nanunua na kuuza hapa hapa mbeya na nimeanza mwaka jana mwishoni.Siku za minada wilaya ya Rungwe maeneo ya kuanzia kiwira hadi tukuyu, kuna minada kama Lembuka, Ighembe,Ibabu huko ukienda unanunua kwa wakulima moja kwa moja mkungu 1 wa wastani...
  11. L

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Sijafahamu hii biashara mkuu, mi nahangaika na ndizi huku mbeya. nilishtuka tu unavosema gunia linatupwa kwenye maji
  12. L

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    :eek::( Seriously??. Kama Yona wa ninawi alivotupwa meli ilipoanza kuyumba.
  13. L

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Itafahamika tu, kuna watu hawataki ku invest kwenye foreign exchange,Index markets wao wanataka ku gamble wakidhani huku ni mlango wa uani, utaendelea kulia lia hivohivo kuwa unatapeliwa kumbe unajitapeli mwenyewe.Yo should cleary understand the risk and accept it, jielimishe kila siku, be...
  14. L

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nimepata mzigo ,shukrani. Keep it up
Back
Top Bottom