Dah! Tuiweke makongo katika maombi, maake migogoro inaimaliza ile shule, na kiukweli inaendelea kubaki jina tu, kwa kweli hatakuimba wimbo washule ilikuwa inaniwia viguma" najivunia shule yangu Makongo..." alafu kuna ziro 200, sitoxahau nilipopigwa fimbo 15 asubuhi alafu ndo naingia kupiga paper...