Recent content by linner

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Cjui watampooza je hayo machungu aliyopata inauma sn.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Alikimbia mwenyewe kwenda kula mihogo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Utakachoandika hapa kuhusu kukosoa usalama wa taifa polisi wanahusu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Nadhani walikuja kujua ni wa upinzani.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Jamani mbona wamemdhalilisha hivyo? au Alikuwa CHADEMA nn maana ndio Adui wa ccm? wangemuambia tu mapema asifike Ikulu akiwa nyumbani kwake wala asingejulikana na usumbufu alioupata usingekuwepo.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Kwa lipi labda. Mbona namba tunasomeshwa wote si wa UKAWA si wa CCM?. tena naona CCM ndio wanaisoma namba barabara.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Nikichekesho pia
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Hahahahaaaaa uuwi imebidi nicheeeeke kweli
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Handeni mkuu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Nadhani teuzi zingine watafikiriwa.Radio ONE na ITV SUPER BRAND wapo juu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuziona juhudi za hawa watu?

    Kweli mnabebwa na Masrahi wala si maslahi
Back
Top Bottom