Ukisikia mikoa 5 unaweza kuhisi eneo dog lakini hayo maeneo yaliyochukuliwa ukubwa wake km uingereza,nchi ya kuishangaa ni Israel tu anashindwa kuithibiti Gaza yenye ukubwa km wilaya Moja TU ya Tanzania na anasaidiwa na super power wote wa Dunia.
Kufunga Kinga ya makombora haikupi uhakika 100% kuwa makombora hayatopita maana Russians Wana mifumo Bora ya ulinzi na missiles zinapenya au Israel makombora ya Hezbollah yanapita mengine yanatunguliwa kwahyo usianzishe ugomvi ukafikiri kwako hakutoguswa sababu ya air defense.
Mbona hutaji sababu za Ukraine kuvamiwa kwamba kavunja mkataba walioingia na Russia Kwa kutegemea silaha za msaada zitamsaidia kwahyo anachezea mboko tu
Hzo taarifa unazotaka ww ukiangalia BBC,CNN kote unaziona hapa zinawekwa zile taarifa zinazofichwa tusizione maana wao wanaaminisha watu kuwa hawashambuliki na Kila shambulio wao wanasema wame intercept
IDF wamekufa wangapi maana wao israel hata gari imebebwa wanajeshi tupu ikipgwa kombora yote ikatekea utaambiwa kajeruhiwa mmoja tu wengine wote wazima
Amka acha kuota saa hz usije uka💩💩 eti wa ikalie Lebanon kama israel mwaka 2006 alitimuliwa maeneo aliyokuwa anayakalia ndani ya Lebanon Sasa hv ndio hawezi kabisaa maana ule uwezo was mapambano wa Hezbollah umeongezeka mara 1000
Israel anaua watu wengi sababu anapga kwenye mikusanyiko ya raia lakini Hezbollah yy anashambulia Kambi za jeshi na anaua wanajeshi wengi tu hila Israel hawezi toa taarifa hzo lakini Hezbollah kashamwambia akipga raia wa Lebanon nao watapga raia ndio maana unaona Israel anajifikiri kufanya...
Kwahyo malengo ya israel ilikua kudondosha maghorofa ya gaza au kuifuta hamas na kurudisha mateka wote nyumbani?maana malengo waliyoweka hayajafikiwa hata moja mmebaki kujisifia kugeuza kifusi maghorofa na huko north wanapoenda ndio wanaenda kuangamia km wameshindwa kuifuta hamas ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.