Recent content by lingoo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Laptop asus n43s 64bit system win7

    Tafadhali natumia laptop asus 64bit os,mudamwingi inakuwaipo connected ktk charge lkn kwa sasa inkuwa inapata moto,ijapokuwa ninatumia pia feni ya laptop ya nje lkn bado mashine inapata moto,je hali hii yaweza kuwa inasababishwa na nini,na nawezakuiondoa hali hii kwa njia ipi>msaada tahfadhali
  2. L

    JamiiForums Tanzania msaada wa microsoft office 2010

    jf stores nimesearch siioni mkuu,kama una link nisaidie
  3. L

    JamiiForums Tanzania msaada wa microsoft office 2010

    msaada jamani wa ms office 2010 na licence key tafadhali,naihitaji sana kwa matumizi binafsi
  4. L

    JamiiForums Tanzania msaada wa microsoft office 2010

    tafadhali naomba kama kunamtu anayo ste up ya ms office 2010 na licence key anisaidie,naihitaji sana kwa matumizi yangu binafsi
Back
Top Bottom