Sasa ni dhahiri Watanzania wamepata njozi,Mungu amewaonyesha njia,na sasa kila kona ya Nchi ni mafuriko,si mafuriko ya maji,bali mafuriko yenye ujumbe unaosema 'tunataka Lowassa awe mrithi wa ANAYENG'ATUKA'full stop
Na mimi kwa upande wangu nimeonyeshwa njozi kwamba Lowassa anakaribia kulivuka...
Me ni kijana wa kiume.
Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza.
Kwa bao la pili inanichukua dakika 5 mpaka 7. Sasa napenda kujua hili tatizo linasabishwa na nini na suluhisho lake...
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Watanzania wengi wamekuwa wakinung'unika na kukata tamaa ndani ya Taifa lao wenyewe bila ya kupata majawabu.
Sasa naomba niwaambie kuwa majawabu yao/yetu ni kwa Edward Lowassa kuwa Mkuu wa Nchi hii kama Rais.
Ukuaji wa uchumi wa Taifa hili una muhitaji sana Lowassa maana akiwa Waziri OMR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.