Recent content by lilungulu

  1. L

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hii ni baada ya Kata yake ya stesheni kuwa mikononi mwa ukawa na Ccm kushindwa kutetea walau kijiji kimoja ndani ya kata hiyo
  2. L

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    tuctumie chadema tutumie ukawa
  3. L

    Laiti CHADEMA wangezingatia ushauri wa Zitto Kabwe kisingekufa kwa style hii

    Usipingane ebu ikumbuke Chadema ya miaka mi3 nyuma iangalie chadema ya leo.maji ya shingo kwan cku had cku mamluk n weng
  4. L

    Mh. Chikawe jipange ili kurudi madarakani 2015

    Napenda kumshaur mbunge wangu chikawe, ili aweze kurud tena madarakani malizia basi ahadi zako umetekeleza kwa 56%
  5. L

    Kweli CCM hamjui yaliyojificha!!

    Ndai unafikiri katiba itapatikana kwa mikutano ya nje ya bunge wasaidie wabunge warud bungen ,kwakuwa wew n ukawa damu
  6. L

    Wabunge mizigo mikoa ya Kusini ndio chanzo cha kutoendelea kwa mikoa hiyo

    Umewahi jiuliza sababu za mikoa ya Kusini mwa Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo? Mawazo yangu nadhani ni kuwepo kwa wabunge mizigo wasiojali wananchi na maebdeleo ya mikoa ya Kusini.
  7. L

    Tanzania Constitution - (Swahili & English Versions)

    inakuaje na yeye anapokea ushauri mbaya toka kwa wasaidizi wake nakuufanyia kazi basi mim nina wasiwasi kwamba yeye mwenyewe ana uwezo mdogo wa kuchambua mambo
  8. L

    Hiv nikweli serikali haijatambua bado kilio cha wana mtwara kuhusu suala lagesi?

    Mimi nafikiri kwa uelewa wangu nikwamba serikali mpaka sasa haijaelewa nini kilio kikubwa cha watu wa mtwara kuhusu gesi, nakama serikali ina tambua fika madai ya watu wa Mtwara kuhusiana na suala la usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara kuelekea Dar si dhani kama waziri wa nishati mr muhongo...
Back
Top Bottom