Wadau polen na majukumu. Na samahanin kwa post ya mwisho hakua na maelezo ya kueleweka.
nauza fridge ni dogo size ya kat na linafanya kaz vizur kabisa. Linapooza na linagandisha vzr tu.
bei ni 150,000 nipo dar maeneo ya Airport.
kwa atakae hitaj anichek nimpe mawasiliano.
Sent using Jamii...
Nauza juice dispenser ya container 3. Bado ni mpya kabisa hajawahi kutumika. kwa atakaye hitaji nipo dar maeneo ya airport. Tunaweza wasiliana kupitia namba zifuatazo;
0755211064, 0716433382
Bei ni 1.5M.
Asanten na karibuni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.