Recent content by Lilian Mlay

  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mwasanga Mbeya kutokea daraja la Tulia ni mbovu

    Poleni na majukumu, naomba mnifikishie kero yangu kwa Wizara wanaohusika na Barabara. Barabara ya Mwasanga Mbeya kutokea daraja la Tulia ni mbaya sana, kwanza ni barabara ya vumbi pia haina mitaro, tunateseka sana, na ukizingatia mvua zinazokuja kuanza Wananchi wa Mwasanga tutakosa pa kupita...
Back
Top Bottom