Recent content by Lilian Gerald

  1. L

    INAUZWA Nauza pikipiki used, bei nafuu

    Nauza pikipiki Kwa BEI ya KUTUPA kabisa MC653 BKT BOXER Bei: 650,000Tsh Haina Shida yoyote IPO UBUNGO EXTERNAL, DAR ES SALAAM WhatsApp/Call 0756638606
  2. L

    Maduka ya soap base kwa Dar nayapata wapi?

    Wakuu Habari za mida, naomba kufahamishwa maduka yanayouza soap base Kwa Dar Kwa anayefahamu. Asante in advance!
  3. L

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Doctor naomba unisaidie nitumie NN Kwa JICHO lililovimba na kuuma
  4. L

    Dawa ya kuvimba kwa jicho

    Habari za Muda huu wapendwa, naomba kujua nitumie Nini kuponya jicho lililovimba na linauma pia, nimeamka tu asubuhi nimejikuta hivyo ila nahisi ni kutokana na vumbi la siku mbili tatu zilizopita. Naomba anayejua tiba yake anisaidie, Asante.
  5. L

    Naomba kujua utaratibu wa kufanya umachinga Mbezi Stendi

    Kama mtu yeyote anayefanya biashara ya umachinga stand ya mabasi ya Mbezi mwisho? Naomba kujua utaratibu upoje, muda mzuri wa kuanza umachinga ni saangapi? Natanguliza shukrani. [emoji120]
  6. L

    Anayejua ninapoweza kupata vifungashio hivi pamoja na gharama zake

    Hzo packages za kuvunjika zinapatikana Alibaba au AliExpress, nyingine zinapatikana soko la kariakoo Dar, au pia unaweza ingia Facebook ukasearch vifungashio au packages watakuja wauzaji wote wa jumla.
  7. L

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Naomba kujua natakiwa niwe na mtaji walau kiasi Gani kuanza biashara ya UWAKALA wa mobile money
Back
Top Bottom