Recent content by likuti

  1. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye likizo Desemba 2023 hawajalipwa nauli zao pamoja na serikali kutoa fedha muda mrefu

    Walimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu. Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza wanasiasa wanavyojinasibu kuchukizwa na mateso ya walimu unaweza kudhani wako serious kumbe kwa ground...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ifike mahali ikiri kwamba Elimu bure haiwezekani

    Ni miezi sasa shule hazijapata ruzuku za elimu bila malipo. Kama walivyokiri kukosea kuweka hq ya mwendokasi jangwani na huku kwenye elimu bure wakiri kwamba hawakujipanga, warudishe utaratibu uliokuwepo kabla hawajaivaa sera ya Mzee Lowasa kuliko kuzalisha madeni ambayo wakuu wa shule...
Back
Top Bottom