Recent content by LIKUD

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Ndoa ya Kweka ilifungwa kanisani..
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Mmesikia ya Kweka huko? Ndoa yake ilifungwa kanisani
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Wameanza kuyasikia wenyewe Bwana Kweka kafanya Mambo yake. Ndoa ilifungwa kanisani hiyo
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Mmesikia huko? Kwela na marehemu mkewe walifunga ndoa kanisani
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Anaenda kusota gerezani maisha yake yote kwa Mambo ya kisenge kisenge tu. Huyo jamaa ni makamasi kabisa Kichwani. Ametudhalilisha wanaume. A real man can't be surprised by a woman, kwa sababu pattern ya tabia zao tunazijua
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Yeah kabisa. Unamuua mtu kwani una mmiliki wewe? Huyu jamaa alie fanya mauaji ni ass hole kabisa.. Una muua mama wa watoto wako kwa sababu ya kitoto kama hiyo?
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Mama mjengo hawezi kuweka na house girl Siri ya kumuua Mme wake. Never
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Baada ya tukio la kioga " Coward Act" la kichaa mmoja kwa jina Laurent Kweka kumpiga risasi na kumuua mkewe, House Girl wa familia aliibuka kutoa maelezo ya tukio hilo pamoja na mgogoro wa wana ndoa hao.. . Moja kati ya maelezo Yake ni kwamba ameishi na familia hiyo kwa miaka minane. Soma Mume...
Back
Top Bottom