Recent content by Likambaku

  1. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Profesa Jay) akataliwa kumuona Joseph Mbilinyi (sugu)

    Huu utawala unaelewa unachokitafuta.
  2. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Baada ya Watanzania Kupaza Sauti sasa Ndugai uso kwa uso na Lissu

    Mzee wa kongwa analeta kooooooooogo ilhali jimbo lake takataka tu hamna lolote.
  3. Likambaku

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

    Tiba ni kutubu tu hakuna namna hayo mengine ni kukata mauno kwenye wimbo wa maombolezo.
  4. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Askofu Kakobe, ningecheza hivi na TRA !

    Mwenye dhambi hana raha.
  5. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Vimefanya nini tena hapa?

    Hivyo labda uweke KY JELLY
  6. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna lazima utubu tu!!!.

    Kweli vyuma vimekaza.
  7. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga asema akikamatwa itakuwa ni kwa ajili ya kutetea Tanzania, si kwa ajili ya chama

    Njoo Ponda ummwagie jumvi konokono.
  8. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Hahahahaaa lumumba bwana mna makengeza ya ubongo, kama ishu ni maji hivi kwa hali ya maji na miundombinu mingine iliyopo katika majimbo ya kongwa, gairo, mpwapwa, mtera na iramba ambayo tangu kuumbwa kwa hii dunia yanaongozwa na kijani mbona hamyaoni?
  9. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa kweli waliokosoa kwa ukweli wanarudi CCM, wapinzani wa uongo wanaendeleza uongo wao

    Umesikika mdogo wangu, namba yako tumeichukua soon jiandae kuapishwa maana ubungo kuna nafasi ya ukuu wa wilaya.
  10. Likambaku

    JamiiForums Tanzania NAPE: Ni rahisi kuchukulia poa kwasababu kwako mambo yanaenda, lakini sio hata kidogo

    Anazingua tu huyo nape
  11. Likambaku

    JamiiForums Tanzania OC CID asema Godbless Lema hastahili kuota ndoto

    Binadamu wapo nchi hii huwezi amini, akili ndogo hata chizi ananafuu.
  12. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

    Mkuu nae anazingua, hivi anaangaika hadi na kauli za watu, anataka aongee yeye tu. Hadi kusema vyuma vimekaza nayo ni nongwa , Hata kama hali ngumu tuufyate tu hiyo mizinguo sasa na kutaka watu lawama.
  13. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

    Naikumbuka kauli ya mzee Makamba kuhusu JPM alisema " huyu atawabatiza kwa moto"
  14. Likambaku

    JamiiForums Tanzania Shindano la CECAFA kwa Zanzibar lageuka kuwa harakati ya kisiasa, sio soka peke yake

    Hata bubu hutamani kusema pindi mambo yanapomfika shingoni.
Back
Top Bottom