Recent content by licygdfrey

  1. L

    JamiiForums Tanzania HESLB wameanza kupokea appeals

    Habari za asubuhi! Mi nataka nilipie mpesa hyo 5,000 kwa ajili ya kuappeal,naomba kujua kama natakiwa kulipia kwa kutumia zile steps nilizotumia kulipia ile 30,000/= ya mara ya kwanza au nifanyeje..?naomba kueleweshwa km kuna steps mpya za kulipia mpesa kwa ajili ya kuappeal. Thanks
Back
Top Bottom