Recent content by LEVY MASENT

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuwapata ndugu zangu wa ukoo wa Kayanda Ngese wa asili Mwanza, Tanzania

    JINA LANGU NI KAYANDA NUSU NGESE. Kwa sasa ninaishi mjini Bujumbura, nchini Burundi. Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, naomba msaada wa kibinadamu kutoka kwa yeyote atakayesoma ujumbe huu. NATAFUTA NDUGU ZANGU wa upande wa baba yangu mzazi, au yeyote mwenye taarifa kuhusu ukoo wa Mzee Kayanda...
Back
Top Bottom