Recent content by Level2

  1. L

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kuoa Mbeya kama wewe nyoronyoro mtoto wa mama

    Hahahaha Kuna Tawi la Bank ya Akiba mkoa X Walipokuwa wanagawa zawadi Kwa wafanyakazi Bora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3526][emoji3526] Wote 5 walikuwa Watu wa Mbeya.Meneja akabaki mdomo wazi. Nyongeza Mimi ni Mkinga Kwa Baba lakini mama Mnyakyusa. Katika hawa wanakyusa kuna utofauti wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Mm sijawahi kusikia kuhusu Wapare kuwa Malaya.Labda Kwa hayo Makabila mengine uliyoyataja.Wapare wakati ninakua nilisikia kuwa ni bahiri Sana.Wanakula makande week mzima pia ni wakorofi wakorofi.[emoji3526][emoji3526] Mimi ni Mkinga OG. Nimeoa Uchaggani Nategemea mchagga aniongezee maujuzi ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

    Wanawake huwezi kuwakwepa kwenye kutoa pesa.Wana mbinu zaidi ya milioni ya kutoa upepo.wewe kama kuna Jambo unalihitaji kwake kubali Tu kutoka upepo Ukihoji Sana hutakaa upate mwanamke Kwa Tanzania ya Leo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

    MTu yoyote mjinga hafai kupewa Uhuru. MTu mjinga wewe mpe Uhuru wake PAMOJA na kamba nyingi Sana Atazichezea hizo kamba Kwa kila mchezo autakao mwishowe atajinyonga Kwa kama hizi hizo baada ya michezo kumzidi.
Back
Top Bottom