Recent content by Leticia shija

  1. L

    SoC04 Maisha Halisi

    ♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe...
  2. L

    SoC04 Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada tu ya kutaka kuwa mtu mzuri kwa kila mtu

    Nimewahi kukutana na msemo mmoja unasema "Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada tu ya kutaka kuwa mtu mzuri kwa kila mtu". Kwenye haya maisha unaweza ukawa mtu mwema tu lakini ikawa si lazima kuwa mtu mzuri kwa kila mmoja. Watu wengi wanajitahidi sana kuwa watu wazuri au waonekane kuwa wao ni...
Back
Top Bottom