Recent content by lethy

  1. L

    Kilichotakiwa kujengwa Mbezi Mwisho hiki hapa. TANROADS mnakosea wapi?

    naonaa kama unaeleweka mkuu. kama kuna ambachohujaelewaa uliza tusaidiaane. hapo morogoro road inainuliwa zingine zinabaki kama zinavoonekana
  2. L

    Kilichotakiwa kujengwa Mbezi Mwisho hiki hapa. TANROADS mnakosea wapi?

    kila kitu kinaenda kama plan ilivo Sina uhakikaa saana na huoo mchoro unaoonyesha mataa. Ila ninachojuaa Morogoro road itakuwa overpass. Ndo mana kwenda malamba na Goba kuna zile round about. Mpaka sasa kinachochelewa ujenzi kuanza pale ni mabomba makubwa ya DAWASCO yamepita pale lazima...
  3. L

    Kilichotakiwa kujengwa Mbezi Mwisho hiki hapa. TANROADS mnakosea wapi?

    hiii imekaa kama plan ya mloganzila... ukiangalia vizir jinsi Ujenzi wake ulivoanzaa utaona kabisaa una shabihianaa na picha
Back
Top Bottom