mahafidh walikuwa wengi na wengine walikuwa wameandika kipindi cha mtume kama rejea zao
Kilichofanyika hapo ni kuunganisha tu zote ziwe sehemu moja Kwahiyo ilikuwa wanafatwa wale ambao wanajulikana kwa uwezo zaidi wanaleta walipohifadhi huku wakiwanyiwa assessment maana hata hao wanaokusikiliza...
Iliandikwa na maswahaba
Baada ya kufariki mtume Muhammad (saw) maswahaba walikubaliana kuikusanya Quran ili iwe kwenye maandishi
Hii ilisaidia kuihifadhi kwa urahisi na pia waandishi wake walikuwa ni wale wanaojulikana kwa Kuhifadhi vizuri Quran
Maana waliohifadhi ni wengi ila kuna wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.