Recent content by Leshido

  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto ya Makonda kutokutoa chenji

    Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi. Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Back
Top Bottom