Recent content by lesedy

  1. lesedy

    Private Takeovers Of Tanzanian Football Clubs

    Wana JamiiForums nina hii hoja, ''Je Kuna ugumu wa private sector kujihusisha na uwekezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania?" Kuachana na hoja ya kwamba mpira haulipi lakini je kuna '' bureaucracy '' ndani ya mfumo wa mpira wa miguu unaofanya uwekezaji kuwa mgumu?
Back
Top Bottom