Recent content by leonardkivuyo

  1. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Ndio ukishaweka order kampuni itapanga usafiri na kukupatia mrejesho jinsi ya kupata pindi itakapofika
  2. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Sawa mkuu...hyo 3245 mpaka 5015 n kwa round neck halafu 8083 n kwa polo sikupost awali ndo maana sikuweka Bei yake.
  3. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Bila shaka wote n wazima wa afya..Bei n zile zile kwa anzia 3245 kwa round na 8083 kwa polo..Bei imejumuisha VAT,karibuni sana.
  4. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Sawa mkuu ila nadhan n mwanga wakat wa kupiga picha...ila zipo colour zote hapo tumejaribu kuweka chache tu.
  5. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Sawa kiongozi hapo nimekuelewa vzr.
  6. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Hahaha sawa mkuu tunazo za wadogo ambazo tunaanzia 3245 mpaka kwa wakubwa 5015.
  7. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Hapana Wap nimeandika laki 5 mkuu..!!
  8. L

    T - shirts best quality kwa bei nzuri ya kiwandani

    Habari wana jamii, sisi ni wauzaji na wasambazaji wa fabrics na pia tunauza tshirts aina zote round neck pamoja na polo best quality kwa bei ya kiwandani. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia 0758898829. Karibuni sana tupo Arusha Njiro
Back
Top Bottom