Habari za majukumu ndugu,
Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2 (two by two) zipo jumla 120
2*4 (two by four) zipo jumla 90
Mboa ziko treated tayari hivyo ni...
Mkuu hiyo 1m unataka kilichopimwa tena maeneo ya mjini?
Last week jamaa yangu alienda kununua Kiwanja mnadani mbele ya mzani (NALA) kwa 3m (30×24)
Kwahiyo offer yako lazima wakutapeli.
Full service inakua ni juu yako mfano kama unataka kufanya overall maintenance.. Ila kumwaga oil na kubadilisha vitu vidogo vidogo mfano plugs na kubadilisha side mirror, rubber etc ni juu yake.
Mimi niliingia nae mkataba service inayozidi elfu 10, Ndio tunashare cost.
All the best mkuu ukipata...
Kiwanja kipo pugu kajiungeni.
Square meter 440 (22*20)
Kipo barabarani ambapo unaweza weka frame 6 kwenye eneo la mbele.
Price:10m
Also SALASALA majengo
Square meter 775.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.