Ushauri wako nimeuelewa ,nitahakikisha naufanyia kazi,pia nakushukuru sana kwa ushauri wako mzuri, umenitia moyo na kunifanya nizidi kuona kuepukana na tatizo langu kitu ambacho kinawezekana
Jinsia yangu ni Me(mwanaume)
Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔
Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
Nimeulewa vizuri ujumbe wako , mbali na changamoto iliyokukuta ambayo ilikua kama msukumo mkubwa kwako wa kuacha tabia hiyo ,je mbinu gani ulizitimia kuacha kabisa tabia hiyo.
Asante sana kwa ushauri wako wa kina na wa busara. Nimeguswa sana na kujitolea kwako kunisaidia katika hili. Ninathamini sana kila neno ulilosema, na ninaamini kwamba ushauri huu unaweza kuwa msaada mkubwa kwangu.
Asante sana kwa ujumbe huu mzuri na wenye faraja. Nimeguswa sana na maneno haya. Ninashukuru kwa kunionyesha njia ya kupata pumziko na amani ya moyo.
pia Nitachukua muda kutafakari maneno haya na kujaribu kuyaelewa kwa undani zaidi.Nitajaribu kuyaingiza katika maisha yangu ya kila siku na kuona...
Asante sana kwa ushauri wako. Ninathamini mtazamo wako na unavyoelezea mambo. Pia ninathamini unavyosisitiza umuhimu wa kuwa na uhusiano wa kudumu .Nashukuru kwa ushauri wako.
Nimezingatia ulichosema
Habari Wanajf
"Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.