Recent content by lennycodes2000

  1. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utaratibu wa usahihishaji wa mitihani ya Practicle kada ya ICT haueleweki

    Wasailiwa wa mitihani ya Practical, hususan katika kada ya Programming (ICT), tunashindwa kuelewa mchakato wa usahihishaji unafanyika vipi. Mara nyingi unafanya mtihani wako, kisha unaondoka bila kupewa mrejesho wowote hadi matokeo yanapotoka. Kinachotushangaza ni kwamba wakati mwingine...
Back
Top Bottom