Recent content by LENJENTZ

  1. LENJENTZ

    Human Resources Manager and Sales Executive wanahitajika

    Amani iwe nanyi nyoote Tunahitaji Human Resource Manager mwenye uzoefu na elimu ya kutosha,elimu iwe ni degree au zaidi na uzoefu wa miaka sio chini ya mitatu akisimamia wafanyakazi zaidi ya mia mbili wenye ujuzi na wasio na ujuzi(skilled and unskilled labours) Pia tunahitaji Sales Executives...
  2. LENJENTZ

    Logistic Manager,Finance Manager,Warehouse Workers,Sales and Distribution Managers and Truck Helper

    Heshima kwenu; Tunahitaji wafanyakazi walio na uzoefu na elimu kwenye maeneo yafuatayo -Logistic Managers -Finance Managers -Sales Managers -Distribution Managers Pia tunahitaji wafanyakazi wa Godauni(Ware house) na wasaidizi wa kwenye magari. KIGEZO KIKUU NI KUWA WAFANYAKAZI WOTE LAZIMA...
  3. LENJENTZ

    Sales and Marketing Manager anahitajika haraka

    Salaam; Mtu mwenye uzoefu wa kazi za Mauzo katika level ya Umeneja yaani kusimamia idara nzima ya mauzo na kutoa mbinu mpya za uuzaji na kuongeza dhamani anahitajika Awe na Degree na uzoefu wa miaka miwili tuma CV kwenda recruitment@lenjen.co.tz
  4. LENJENTZ

    Purchase Officer, Sales and Marketing Managers, IT Specialist wanahitajika haraka,

    Salaam; Mtu mwenye uzoefu wa kazi za Mauzo katika level ya Umeneja yaani kusimamia idara nzima ya mauzo na kutoa mbinu mpya za uuzaji na kuongeza dhamani anahitajika Awe na Degree na uzoefu wa miaka miwili tuma CV kwenda recruitment@lenjen.co.tz
  5. LENJENTZ

    Purchase Officer, Sales and Marketing Managers, IT Specialist wanahitajika haraka,

    Nashukuru mkuu ila huu ndio utaratibu wetu na wewe huwezi kuubadilisha
  6. LENJENTZ

    Purchase Officer, Sales and Marketing Managers, IT Specialist wanahitajika haraka,

    Sahihi mkuu ila utaratibu ni kutuma CV tukiona unafaa tutakuita kwenye interview na hapo utaelezwa kuwa ni kampuni gani inahitaji mtu wa kada yako.
  7. LENJENTZ

    Purchase Officer, Sales and Marketing Managers, IT Specialist wanahitajika haraka,

    Heri ya mwaka mpya wakuu; Napenda kuwatangazia nafasi za kazi tulizo nazo na zinahitaji kujazwa na watanzania wenye uwezo na uzoefu; 1-Purchase Officer 2 posts 2-Sales and Marketing Manager 4 posts 3-IT Specialist 1post Tafadhali kama una vigezo kwa moja ya nafasi tajwa hapo juu tuma cv yako...
  8. LENJENTZ

    Mameneja wa hoteli wanahitajika

    Lenjen Company T) limited - We make running a business easier!
  9. LENJENTZ

    Mameneja wa hoteli wanahitajika

    www.lenjen.co.tz
  10. LENJENTZ

    Nafasi za kazi, Lenjen Tanzania

    5 JCB OPERATOR (Code No;LC/788/2005/014 VALIDY LICENCE UZOEFU WA MIAKA MIWILI 6 DRIVERS (Code No;LC/787/2005/014 VALID DRIVING LICENCE UZOEFU WA MIAKA MIWILI
  11. LENJENTZ

    Nafasi za kazi, Lenjen Tanzania

    Heshima kwenu wakuu wote Mara hii tuna nafasi kadhaa za kazi naomba wenye uwezo na uzoefu watutumie CV kwenye info@lenjen.co.tz na recruitment@lenjen.co.tz ,tafadhali taja CODE No ya nafasi unayoomba kwenye subject ya email yako; 1-HUMAN RESORCES MANAGER(CODE No;LC/016/2005/014)...
  12. LENJENTZ

    Wahudumu wa Hoteli& Restaurant wanahitajika now

    Heshima kwenu nyotèeee, LENJEN inafuraha kuwatangazia nafasi za kazi za wahudumu wa Hotel na Restaurant wanye vyeti na uzoefu kiasi.Tafadhali tuma CV yako leo kwenda info@lenjen.co.tz au tuma msg au piga simu namba 0767 464482. Ahsanteni sana.
  13. LENJENTZ

    Nafasi za kazi za ulinzi

    Ahsante sana Minja tuko pamoja, mgonjwa bado unaumwa ukipona utajua kuwa JF ni yetu sote hata sisi walinzi tumo mkuu.
  14. LENJENTZ

    Nafasi za kazi za ulinzi

    Kampuni ya LENJEN SECURITY iliyopo Mbezi Beach -Samaki, inatangaza nafasi za kazi ya ULINZI kwa watu wenye uzoefu, wenye mafunzo ya mgambo,elimu ya form four, utambulisho wa makazi na uraia, wadhamini wa karibu wawili ambatanisha picha, anuani na namba za simu za wadhamini, picha za mwombaji...
Back
Top Bottom