Kipande cha Barabara cha Town Clinic ni Kibovu tangu nahamia Tabora Mwaka 2019. Ni Kipande ambacho hata Mita 100 hakifikishi, ndicho kinachoingia Salmini, sehemu Muhimu kiuchumi, Diwani wa eneo hilo nae Hakuna anachofanya, Shida ni Nini?
Naona mnapambana kujenga Kingo za Barabara ya Cheyo KWA...
Simung'unyi maneno. Ni shirika ambalo limeshaisababishia nchi Hasara ya Kutosha. Ndege hizi zilisababisha watu wakaumizwa KWA kutoonekana Wazalendo. Shirika hili kufufuliwa iligharimu nchi KWA fedha nyingi sana.
Halafu kuna wapumbavu wachache wameamua kulihujumu na kuliua tena shirika hili bila...
Huna Hoja yoyote ya kuwaondoa. Zaidi sana nauona ushabiki maandazi tu kwako. Wameishi na Wanyama KWA milenia zaidi ya 7, leo Ndio unashangaa wao kuishi na wanyamapori? Hiyo ni Akili kweli? Huoni hiyo ndiyo uniqueness yao na hivyo wanapaswa kulindwa?
Ngorongoro ni ya wanangorongoro. Na KWA nini...
Ngorongoro imepakana na Manyara na Serengeti. Ili ife, inabidi uziue zote hizi pamoja na Masai Mara ya Kenya nayo itakufa. So, hamna Hoja yoyote ya kuwaondoa watu Ngorongoro. Mkitaka waondoeni Waarabu na Mahoteli yote Ngorongoro.
Unique feature ya Ngorongoro ni mchanganyiko wa Wanyapori na Binadamu. Na Ndio maana likaitwa eneo la Hifadhi. Wamasai wamekuwa Wahifadhi wa Wanyamapori KWA sababu wao HAWAWINDI WALA KUUWA WANYAMAPORI, it has been so for decades, ila KWA sasa kuna "Wamasai Waarabu na Wazungu" Ndio wanaowinda na...
Kwanza ondoa notion uliyonayo kichwani kwamba watu wanavamia Ngorongoro. Wavamizi ndani ya Ngorongoro ni the so called "Investors" wenye mahoteli na Campsites. Wamasai wanaozungumziwa wapo hapo zaidi ya miaka 7000/ Tunazungumzia miaka kabla hata Yesu hajaandaliwa kuja duniani! Vizazi na vizazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.