Wanajamii, kwanza napenda kuyaweka haya kama kiangalizo kwa ccm wakati wana kauli mbiu maisha bora kwa kila mtanzania wakumbuke kwamba hawa watanzania si wajinga kama wanvyofikiri, wamechoka ahadi zisizotekelezeka takribani miaka hamsini, kila kukicha maisha yamezidi kuwa magumu badala ya petrol...