Recent content by LELELU

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    duuuhhhh waajiriwa tunaenda enda tu kumbee dooh.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    kaka uzi wangu kuna mtu kauedit au
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    hahha dah hatari sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mtoto auawa kikatili kwa kukatwa Mapanga

    unabisha tu lakini mapungufu unayo makubwa hasa ya kiufahamu ndugu... jamaa kamaanisha una mapungufu hasa ya kutafakari pale ulipotoa kejeli na kusema hawajaelimika mikoa hiyo na hata kielimu wako nyuma..na sababu ya kusema haya ni huyo mtu kupiga mapanga ndyo maana ukawashusha watu wa huko...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, Muislam akila nguruwe ni kipi anapaswa kufanya? Nini adhabu yake kwa Mwenyezi Mungu?

    naam nam kaka.. umesema kweli.. hukmu ya kula nguruwe dhambi zake ni kama mtu kuzini na kunywa pombe na ni katika madhambi makubwa ambayo mtu hasamehewi mpaka aombe toba kwa mungu na kuweza azma ya kutorudia .... ila ikiwa bado unakunywa alafu huoni tatizo lakini nguruwe ndo unaona haramu hapo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    hiyo sawa mkuu ukipiga moja tu inakuwa yale mabaki hayana njie engine ya kuingia huko... mkuu samahani wewe ni dini ipi? samahani kama utanielewa vibaya lakini kuna jambo nataka nikuambie
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mwalimu mwanamke anaweza kulea mtoto bila ya mfanyakazi mpaka mtoto akue?

    nipe maoni mkuu nataraji faida kutoka kwako karibu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mwalimu mwanamke anaweza kulea mtoto bila ya mfanyakazi mpaka mtoto akue?

    ahahah...kanilea mama mjasiriamali mkuu ambae hakuna muajiriwa kabisa.....
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mwalimu mwanamke anaweza kulea mtoto bila ya mfanyakazi mpaka mtoto akue?

    amna mkuu ila uhalisia unakuwa hvyo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mwalimu mwanamke anaweza kulea mtoto bila ya mfanyakazi mpaka mtoto akue?

    mkuu hata kama umenizidi umri na majukumu basi jua nahtajia maoni yako na sio kuishia kunishusha kama hivi .... ndyo mana nikaleta hapa ili nyie wazoefu mtupe uzoefu .. bujibuji nakutegemea mtu wangu..karibu kwa maoni
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    ni kweli mkuu na hata zile manii zinazobaki baki baada ya goli hazina uwezo wa kutungiza mimba kwa sabau manii inayoweza kutungisha mimba ni ile iliyokuwa katika spidi ya kutoka na ikapita ndani ya uke kabisa...ama ile tu ya mabaki haina spidi yeyote ile ya kupika huko.. lazima ngoma isokomezwe...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba unaweza kuwa unafuatiliwa kupewa ajira ya huduma ya siri ya serikali bila kujua?(Shushushu)

    usalama nao wana vitengo vyao pia... kuna wale ambao utawaona kwenye misafara kwa waheshimiwa na viongozi wakubwa ...na wale ambao hao ni wasiri siri hao sasa kumjua pana tatizo na huwenda akaajiriwa hasa akawa mualimu au akaenda kozi jeshi na akapiga mzigo hasa kumbe kuna anachotafuta... sasa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    hii naikubalimkuu.. kuliko kavu kavu tu ..alafu si unajua kwa sisi baadhi yetu kuna yale makata maver sasa kwa karatasi tupu sidhani kama yatasafika....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mwalimu mwanamke anaweza kulea mtoto bila ya mfanyakazi mpaka mtoto akue?

    habar wadau..naomba wajuzi na waalim waje watupe maoni kuna binti katulia ni mwalimu japo ajira bado..lakini najiuliza kwenye kulea watoto anaweza kulea bila mfanyakazi(au kijakazi kwa mujibu wa nabii titto) mana hofu yangu kubwa kijakazi akija ndani ya nyumba si tutamlipa? kwa hvyo kama...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    tunazungumzia kwa mazingira ambayo maji hupatikana ..kama huna maji sasa uchambie mate au??
Back
Top Bottom